Msanii wa Band maarufu nchini Tanzania ya Mapacha watatu akiwa ndo kiongozi wa Band JOSE MARA ameanzisha kampuni yake mwenyewe ya FM EXPRESS EVENT ikiwa inashughulika na ukodishaji wa vifaa vya muziki katika matukio mbalimbali kama Harusi na mikutano.
No comments:
Post a Comment