Zoezi la kusafisha mji wa KINGSTON likiendelea pamoja na ST andrew, machinga wamezidi kufukuzwa wasifanye biashara katikati mwa miji iyo.Imeelezwa kwamba nusu ya miji iyo miwili zoezi limeishafanyika na kumebaki safi ila zoezi limezidi kupewa nguvu zaid katika maeneo yote ili kusafisha Mji mkuu Kingston na miji mingine ambapo machinga wametakiwa kwenga pembezon mwa majiji ayo au sehemu zilizowekwa kwa ajili ya biashara izo na sio kwenda katika kati mwa mji kufanya biashara ambapo kitendo icho kimeonekana kama uchafuzi wa mji.
KINGSTON JAMAICA MACHINGA WAFUKUZWA KUFANYA BIASHARA KATIKATI MWA JIJI ILO
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, January 26, 2014 | 6:20 AM
Zoezi la kusafisha mji wa KINGSTON likiendelea pamoja na ST andrew, machinga wamezidi kufukuzwa wasifanye biashara katikati mwa miji iyo.Imeelezwa kwamba nusu ya miji iyo miwili zoezi limeishafanyika na kumebaki safi ila zoezi limezidi kupewa nguvu zaid katika maeneo yote ili kusafisha Mji mkuu Kingston na miji mingine ambapo machinga wametakiwa kwenga pembezon mwa majiji ayo au sehemu zilizowekwa kwa ajili ya biashara izo na sio kwenda katika kati mwa mji kufanya biashara ambapo kitendo icho kimeonekana kama uchafuzi wa mji.

No comments:
Post a Comment