Toka jamaika mkuu wa jeshi la ulinzi na usalama la nchi iyo amesema anasubili tamko la waziri wa mambo ya ndani kuhusu kuungana bega kwa bega na waziri wa kilimo nchini apo ili kupambana na wale wote wanaomdidimiza mkulima kwa kwa wizi wa mazao ya wakulima ambapo amesema kitendo icho kinamfanya mkulima wa jamaica kuingia hasara ya J $ 6MILLION kila mwaka.
Home »
BIASHARA
 , 
News
 , 
Politics
 » JAMIAKA: WIZARA YA MAMBO YA NDANI NA WIZARA YA KILIMO KUUNGANA KULINDA HAKI ZA MKULIMA
JAMIAKA: WIZARA YA MAMBO YA NDANI NA WIZARA YA KILIMO KUUNGANA KULINDA HAKI ZA MKULIMA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, January 26, 2014 | 6:32 AM
Toka jamaika mkuu wa jeshi la ulinzi na usalama la nchi iyo amesema anasubili tamko la waziri wa mambo ya ndani kuhusu kuungana bega kwa bega na waziri wa kilimo nchini apo ili kupambana na wale wote wanaomdidimiza mkulima kwa kwa wizi wa mazao ya wakulima ambapo amesema kitendo icho kinamfanya mkulima wa jamaica kuingia hasara ya J $ 6MILLION kila mwaka.
 
No comments:
Post a Comment