Habari Mpya :
Home » , , » SHILOLE aka SHISHI BYBEE TAREHE 31.1.14 ANAKUJA NA JIWE HILI LA FUNGIA MWEZI January

SHILOLE aka SHISHI BYBEE TAREHE 31.1.14 ANAKUJA NA JIWE HILI LA FUNGIA MWEZI January

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, January 27, 2014 | 6:16 AM

Mwanadada SHILOLE aka SHISHI BYBEE anatarajia kutoa wimbo wake mpya kabisa kwa mwaka huu 2014 alioupa jina la CHUNA BUZI. Shilole ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie na pia ni msanii wa Bongo Fleva amesema kuwa anatarajia mambo makubwa sana kwa mwaka huu 2014 kama mungu atamjalia pumzi.Shilole ambaye bado anatesa na kichupa chake kinachoitwa NAKOMAA NA JIJIamesema CHUNA BUZI nimwendelezo tu wa nyimbo zake lakini mashabiki wake wanaona kama majina anayoyachagua kukaa kwenye nyimbo zake yanaonekana kama anayaimba maisha yake. Wimbo huu mpya ameufanyia pale Mazuu Rec chini ya Producer Mazuu.

               CREDIT:Djchokamusic.com

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania