Baada ya maswali mengi ya watu kuhusu undugu uliopo kati ya wasanii wawili nchini Tanzania QueenDarleen Na King wa Bongoflava Diamond Platnumz hatimae mnamo tarehe 20 Aug 2013 Diamond platnumz alipost picha katika ukurasa wake wa facebook akiwa na QuunDarleen na kusema maneno haya **watoto wa Mzee Abdul hao...***kwa upande wa Darleen alipost picha Instagram mwezi wa december 2013 akiwa na Mzee abdul mzee aliyefanana sana na msanii Diamond Platnumz na kusema maneno haya **my -sweety My-number 1 baba**..


No comments:
Post a Comment