Kipindi maarufu cha Television cha The sporah show ambacho apo hawali kilikuwa kinarushwa kupitia luninga ya StarTv taarifa tulizozipata kupitia ukurasa wa the sporah show twitter kwamba kinahamia CloudsTv na kitaanza kurushwa hewani kuanzia Alhamis ya week ijayo tarehe 6 february 2014 kuanzia saa Tatu kamili usiku na marudio kila jumapili saa sita na nusu mchana.
Home »
Events
,
News
,
TVSHOW/INTERVIEW
» THE SPORAH SHOW KUHAMIA CLOUDS TV KUANZIA TAREHE 6 FEBRUARY 2014
THE SPORAH SHOW KUHAMIA CLOUDS TV KUANZIA TAREHE 6 FEBRUARY 2014
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, January 25, 2014 | 11:25 PM
Labels:
Events,
News,
TVSHOW/INTERVIEW


No comments:
Post a Comment