Leo ikiwa ni Tarehe 26 january 2014 ni siku ambayo wamezaliwa watu maarufu Africa na dunian.Kwa upande wa africa mashariki tarehe kama ya leo alizaliwa mtangazaji shupavu na mwenye uwezo mkubwa katika tasnia ya utangazaji nchini Tanzania akifanya kazi katika Radio station ya CloudsFm kipindi chake kikiwa ni✌ Amplifaya kinachorushwa hewani kuanzia saa moja mpaja saa tatu usiku.MillardAyo ni mmoja kati ya watangazaji waliojichukulia umarufu mkubwa nchini Tanzania na kwa miaka miwili mfuruliDGENERES pi . De . D. takwimu za mtandao wa Bongo5 ameshinda kuwa mwanahabari anasikilizwa na watu wengi sana.Happy birthday MillardAyo.
Ellen De Generes mchekesheji maarufu na muendeshaji wa vipindi vya Tv nchini marekani nae pia amezaliwa tarehe kama ya leo mnamo mwaka 1958.
 

 
  
  
  

No comments:
Post a Comment