Habari Mpya :
Home » , , , » WAJUE CAPITAL DREAMS PICTURE WATENGENEZAJI WA VIDEO BORA AFRICA CHINA YA DIRECTOR(CLARENCE PETER)

WAJUE CAPITAL DREAMS PICTURE WATENGENEZAJI WA VIDEO BORA AFRICA CHINA YA DIRECTOR(CLARENCE PETER)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, January 25, 2014 | 7:56 AM

CAPITAL DREAMS PICTURE wenye makazi yao Nigeria Lagos ni kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa Video na matangazo ya Television nchini Nigeria ikiwa chini ya usimamizi wa Director Number Moja Africa kwa utengenezaji wa Video nzuri kwa jina Clarence Peter.Capita Dream Picture imejichukulia umaaarufu mkubwa sana na kupata sifa nyingi sana kama kampuni bora inayoongoza kwa kute ngeneza video bora za wasanii wakubwa wa Nigeria na ata nje ya Nigeria.Kati ya wasanii wakubwa wa Nigeria ambao wameishafanya kazi nzuri na Capital Dreams Picture Shoooter na Director akiwa ni Clarence Peter ni pamoja na P-square, Banky-W 2face Idibia na wengine wengi nchini hapo.Kwa upande wa nje ya Nigeria ni pamoja na Tanzania ambapo ameweza kufanya kazi na msanii Diamond Platnumz alliyeshawishika na kazi ya kampuni iyo ya Kibao cha ARINGO cha P-square na kutengenezewa Video yake mpya inayotamba kwa sasa ya NUMBER ONE REMIX akiwa na msanii toka Nigeria DAVIDO.

Wafuate Capital Dreams Picture katika ukurasa wao wa Faceboook ***CApital Dreams Picture***
website yao hii hapa kama wataaka Video Bomba www.capitaldreamspicture.com

Katika picha ni Clarence Peter Director na shooter wa Capital Dream Picture akifanya kazi zake moja katika picha yuko na msanii wa kimataifa 2face wakiwa katika uandaaji wa Video mpya ya 2face Idibia

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania