Ni Ajari ya MV akademiks Shokaishly ambayo iliyokwama katika barafu ndani ya bahari ya ATLANTIC week moja iliyopita.Alhamis siku ya boxing day team ya uokoaji ikiwa na helicopter ilitumwa kwa ajili ya kwenda kufanya zoez la uokoaji wa watu 50 waliokwama katika Barafu.
No comments:
Post a Comment