Waziri wa fedha nchin Tanzania Mh William augustoa mgimwa amefariki dunian jana akiwa nchini Africa ya kusini.Naibu waziri wa fedha amelidhibitisha ilo baada ya kupata taarifa izo toka kwa madaktari wa hospital ya Mediclinic iliyopo pretoria nchini africa ya kusini.Mgimwa alipelekwa nchini africa ya kusini haraka kwa matibabu ya ugonjwa wa moyo uliokuwa unamsumbua.Salam kutoka Ikulu ya Tanzania Rais Jakaya mrisho kikwete kasema Mgimwa amefariki wakatik Taifa linamuitaji sana.
 

 
  

No comments:
Post a Comment