Ni ajali mbaya kabisa ya Bas la Summry ambalo apo jana limegongana ana kwa ana na Lori kijiji cha mikese nje kidogo ya mji mkoa wa dodoma.Katika ajali iyo basi la summry na lori yote yalibinuka upande wa nje ya barabara na kusababisha vifo vya watembea kwa miguuu waliokuwa wakipita wakati tukio ilo likitokea.
 

 
  

No comments:
Post a Comment