Wale wezi ambao wamekuwa sugu sana katika kufanya wizi unaohusisha mtandao wa kutuma na kutoa pesa wa M-pesa wa chapa ya kampuni ya Vodacom.Leo mwizi mmoja kakamatwa baada ya kutaka kumtaperi wakala wa M-pesa singida mjini na kujikuta akiingia ndani ya mikono ya polisi na kupelekwa kituo cha polisi cha mkoan hapa kujibu mashtaka.
 

 
  
  
  
  
  

No comments:
Post a Comment