Ntalia ni nyimbi miongoni mwa nyimbo nzuri zinazotamba kwa sasa. Nyimbo inamilikiwa na kijana mchanga anayechipukia katika tasnia ya muziki wa Tanzania @keizer. Hapa ni maombi yake kwenu ili mumpigie kumpigia kura nyimbo ya Ntalia ishinde kipengele cha wimbo bora msanii chipukizi katika tuzo za Kill music awards. Support yenu inaitajika sana.
Home »
Events
,
Fashion
,
Music
,
News
,
Videos
» IPIGIE KURA NYIMBO(NTALIA)YA MSANII KEIZER ISHINDE(KILL MUSIC AWARDS WIMBO BORA MSANII CHIPUKIZI)


No comments:
Post a Comment