Ni niajali mbaya ya bas la bunda bus service ambayo imetokea maeneo ya manyoni baada ya kugongana na treni iliyokuwa inapita barabaran apo. Kwa mujibu wa habari tulizozipata ni kwamba dereva wa basi la bunda bus service alikuwa katika mwendo kasi kiasi ambacho alishindwa kufanikiwa kupunguza mwendo kabla ya kufika karibu na njia ya treni na wakati huo treni pia ilikuwa katika mwendo wa kawaida sana ila haikuwa rahisi kuzuia ajali iyo maana tayari basi lilikuwa limeishaingia katika mwelekeo wa treni. Katika ajali iyo wawili wamefariki apoapo na wengine 25 majeruhi.


No comments:
Post a Comment