Huu ndo ukweli wa mapenzi makubwa aliyonayo mtumishi wa mungu kiongozi wa kanisa la RC dunian PAPA francis na mchezo wa kandanda au mpira. Papa francis akiwa mmoja kati ya mashabiki wakubwa wa mpira ameweza kupewa jezi nyingi sana na team mbali mbali dunian kuliko mtu yeyote yule ikiwa ni jezi za Team za Taifa na Vilabu kama anavyoonekana katika picha alikabidhiwa Jezi izo tofauti tofauti.


No comments:
Post a Comment