Habari Mpya :
Home » , , » KWA MALA YA KWANZA MU ARGENTINA KUSHABIKIA BRAZIL

KWA MALA YA KWANZA MU ARGENTINA KUSHABIKIA BRAZIL

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, February 26, 2014 | 4:17 AM

Ni mtumishi wa mungu Papa Andrew francis ambae ni mzaliwa wa Argentina. Apo juzi papa uyo alitembelea taifa la brazil na kukutana na rais wa taifa,  papa ametoa kali ya karne baada ya kutania kwamba anaweza kushabikia Brazil katika mashindano ya kombe la dunia yanayotalajiwa kuanza mwaka by mwezi wa sita mwenyeji akiwa Brazil. Team ambayo ni hasimu wa argentina tanga mpira uanze dunian.Mbali na utani hue Papa alikabidhiwa Jezi ya Team ya brazil ambayo imesainiwa na bingwa wa zamani Pele na ronaldo.Mbali na Jezi Papa alikabidhiwa mpira wenye nembo ya (world cup 2014)

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania