Toka Acra ghana baada ya siku tatu mfurulizo za maombelezo hatimae apo jana Nguri wa habari wa television BBC Kumlo dumor aliyefariki dunia mnamo tarehe 18 january 2014 kwa mshtuko wa moyo ameweza agwa rasmi na kusaliwa kwa dhehebu lake la Rc pia kusaliwa kimira kwa tamaduni za watu wa Ghana na na kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele.Kumlo Dumor alijipatia umaarufu mkubwa katika umahiri wake wa utangazaji na kujipatia sifa kubwa baran Africa na dunia nzima.


No comments:
Post a Comment