Leo ikiwa ni Tarehe 21 february 2014 nguri katika siasa na rais wa kwanza nchi ya zimbabwe Mh Robert Mugabe atimiza Miaka 90 tangu azaliwe.Robert mugabe akiwa ndo rais mkubwa na mkongwe barani Africa na dunian tangu apate madaraka toka kwa wazungu mwaka 1980 mpaka leo ametimiza miaka 34 ya utawala wake na imeelezwaa kwamba sherehe za kutimiza umri wake huo zitafanyika apo kesho kutwaa ambapo $1M zimeandaliwa kutumika katika sherehe izo.


No comments:
Post a Comment