Habari Mpya :
Home » , » BREAKING NEWS:GARI MBILI ZA GONGANA MKOAN SINGIDA

BREAKING NEWS:GARI MBILI ZA GONGANA MKOAN SINGIDA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, February 11, 2014 | 2:29 AM

Gari mbili za gongana muda si mrefu mkoan Singida na kusababisha folen ya magari.Ni Gari mbili moja ni gari ya Abili yani Daladala na tax aina ya Corola ambapo imeelezwa kwamba Mwenye Daladala aliingia kimakosa katika upande ambao sio wake.Mwenye Tax ametueleza kwamba yeye hana tatizo na mwenye Daladala zaid anaomba haki ifuatwe na aweze kulipiwa matengenezo ya Gari yake.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania