HABARI KUHUSU MCHUNGAJI JAMIE COOTS ALIYEFARIKI KWA KUGONGWA NA NYOKA WAKE AMBAE UMTUMIA WAKATIA
WA IBADA ZAKE KANISANI KWAKE.TAARIFA ZAID ZIMEELEZWA KWAMBA JAMIE BAADA YA KUGONGWA NA NYOKA UYO
ALIONDOKA MOJA KWA MOJA KUELEKEA KWAKE NA KWAMBA ALIKATAA MATIBABU KILICHOPELEKEA KIFO CHAKE.
MBALI NA KIFO CHA MCHUNGAJI UYO MWANAE WA KIUME AMEENDELEA KUMTUMIA NYOKA UYOUYO KATIKA IBADA ZA KANISANI APO.
HI VIDEO INAONYESHA JINSI NYOKA UYO ALIVYOMGONGA MCHUNGAJI JAMIE NA KISHA JAMIE KUONDOKA KANISANI APO.
Home »
COMEDS
,
Events
,
News
,
Skendo
,
Videos
» TAZAMA VIDEO NAMNA MCHUNGAJI JAMIE COOTS ALIVYOKUWA AKICHEZA NA NYOKA KANISANI KWAKE ALIYESABABISHA KIFO CHAKE


No comments:
Post a Comment