Home »
Events
,
Fashion
,
Music
,
News
» PICHA ZA PARTY KUBWA ILIYOFANYIKA ATLANTA MAREKANI AMBAPO ILIWAKUSANYA WASANII WAKUBWA KAMA P.DIDY/TI/RICKROSE/JUSTIN BEIBER
PICHA ZA PARTY KUBWA ILIYOFANYIKA ATLANTA MAREKANI AMBAPO ILIWAKUSANYA WASANII WAKUBWA KAMA P.DIDY/TI/RICKROSE/JUSTIN BEIBER
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, February 23, 2014 | 10:41 AM
Huu ni utamaduni wa wasanii wa mataifa yaliyoendelea na wasanii matajiri dunia kuwa na desturi ya kukutana sehemu moja na kufanya party ya pamoja apo juzi mtandao wa TMZ ulifanikiwa kupiga picha za wasanii mashuhuri dunia wakiwa Atlanta marekani katika party ya pamoja.
No comments:
Post a Comment