Habari Mpya :
Home » , , » (STORY BOMBA MWAKA 2012)MAPACHA WALIOJIFUNGUA SIKU MOJA NA MMOJA KUZAA MAPACHA

(STORY BOMBA MWAKA 2012)MAPACHA WALIOJIFUNGUA SIKU MOJA NA MMOJA KUZAA MAPACHA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, March 10, 2014 | 8:08 AM

Hi ni moja ya story ziilizoweza kushika nafasi ya juu zaid katika mitandao mbalimbali dunian kote baada ya wasichana mapacha wote wazawa wa marekani katika shaakira White na pacha wake Zaakira Mitchell
toka jimbo la south carolina USA wote wakiwa na umri wa miaka 20 tu walijikuja wakijifungua siku moja katika hospital moja na wote wakiwa chini ya uangalizi wa Dr mmoha kwa jina ni Dr James Ferguson mnamo tarehe 24 july mwaka 2012.Tukio la kushangza ilo lilianza baada ya mapacha hao ndani ya week moja wote kupata ujauzito kitendo ambacho kiliwashangaza wengi na hakikuwa kitendo cha kupangwa alisema Shaakira.Wakati wa kujifungua alitakiwa kuanza kujifungua Shaakira majiya ya saa 5:30 lakini kwa bahati mbaya Dr james Ferguson wakati huo alikuwa akihudumia mgonjwa mwingine ivyo akachelewa kumzalisha Shaakira lakin bila kutegemea ndugu yake Zaakira alijifungua mwanae Kadin Zaaka na baadab ya saa moja pacha wake White alijifungua mapacha  Landon Elijah na London Elise.Hiki ndo alichokisema
Dr James Ferguson kuelezea tukio ilo la maajabu.(“I’ve never seen twins being pregnant at the same time!” said Dr. James Ferguson.
Dr. Ferguson is still getting over the fact the sisters just shared their pregnancies. He said he couldn’t believe it when they both showed up Tuesday and went into labor.)
Shaakira White and Zaakira Mitchell
                                          SHAAKIRA NA ZAAKIRA BAADA YA KUJIFUNGUA



Shaakira White and Zaakira Mitchell
                        WAKIWA NA WATOTO WAO

Shaakira White and Zaakira Mitchell
                             WAKIWA NA WAUME ZAO
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania