Msanii wa hiphop anayetengeneza kundi na kampuni ya Weusi joh makini ameamua kufunguka katika ukurasa wake wa Instagram kuhusu maneno yaliyoongelewa kuhusu madai ya kwamba msanii mwenzeke Lord Eyez ambae apa karibun amekamatwa na kuwekwa chini ya mikono ya polisi kwa nakosa ya kujiusisha na wizi.Joh makin akiwa katika picha ya pamoja na Lord ayez ameandikwa haya(Lord Eyez hajafukuzwa na wala hajatengwa kama wengi mnavyofikiria)


No comments:
Post a Comment