Habari Mpya :
Home » , , » TAZAMA VIDEO MPYA TOKA KWA SHILOLE-CHUNA BUZI

TAZAMA VIDEO MPYA TOKA KWA SHILOLE-CHUNA BUZI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, March 28, 2014 | 8:01 AM

shishi-chuna-buzi-1

Mbali na kuwa ni video mpya lakini ni video ambayo inaingia kwenye headline hasa hapa zilipofanywa video mbili ambazo zote zimetayarishwa na Director mmoja,Chuna Buzi ndiyo jina la wimbo huu ambao mbali na kuwa kwenye wimbo siku chache zilizopita Shilole ali-amplify taarifa za kufungua mgahawa wenye jina hilo.
Audio imefanywa kwa Mazuu pale Mazuu Records na video imefanywa na Nisher ambaye ndiye alie Direct video yake ya wimbo wake uliopita wa Nakomaa na Jiji.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania