Habari Mpya :
Home » » SIMBA FC(D) KUIZALILISHA SINGIDA UNITED JANA SINGIDA

SIMBA FC(D) KUIZALILISHA SINGIDA UNITED JANA SINGIDA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, March 21, 2013 | 12:22 AM





BENCHI LA SIMBA
 

 







































  JANA KATIKA UWANJA WA NAMFUA SINGIDA SIMBA FC
WALIINUKA WABABE BAADA YA KUSARAMBUA SINGIDA UNITE
BAO NNE KWA YAI.(MAONI WAKAZI WA SINGIDA)TNASHUKURU UJIO WA SIMBA
SINGIDA JAPO WAMETUCHAFUA ILA WAMETUJENGA NA KUTUTOA UOGA WA
PAMBANO NA TEAM KUBWA TUNAAMIN UJIO MWINGINE TUTAFANYA VIZUR.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania