Ikiwa zimebaki saa kadhaa kabla ya rais kuingia nchin tanzania leo hii mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Said meck Sadiki ametangaza rasmi kwamba kuna baadhi ya barabara zitafungwa ifikakapo kesho majira ya saa sita mchana.Miongo mwa barabara zitakazo fungwa na barabara ya Posta kuelekea Hotel ya kilimanjaro na ile ya kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu nyerere.Ivyo amewaomba wananchi wote hasahasa wasafiri wa ndege kuwahi uwanjani kabla ya saa sita maana barabara zitakuwa zimefungwa..Hatua iyo inafanyika ili kuondoa msongomano na kuweza kumpokea Rais obama kwa utulivu mkubwa...


No comments:
Post a Comment