Imeelezwa kwamba katika ziara ya Rais baraka obama wa marekani barani afrika ambayo imeanzia nchini senegal na kisha kwenda southafrika na atimae leo tarere 01/07/2013 kumaliza Ziara yake Tanzania.Obama ameinyesha furaha kubwa kutokana na ukarimu na wa watanzania na njinsi walivyompokea kwa furaha na kwa hamu kubwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwl nyerere na alipofika Ikuru akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya mrisho kikwete..


No comments:
Post a Comment