Air force one ikiwa ndo ndege inayombeba rais wa marekani na ndo inayotumika katika ziara zote za rais yoyote yule wa taifa kubwa dunian.Air force one ikadiliwa kuwa na urefu ka gorofa sita au saba na upana wa ndege za kawaida mbili.Kwa ndani air force one inakila kitu ambacho ungeweza kukiona ndani ya nyumba ya kifahari au office kubwa,kuna office maarum ya rais,kuna hotel kubwa kwa ajilivya vyakula na vinywaji.Inaelezwa kwamba Air force one imewekewa mitambo mikubwa ya kisiansi kiasi kwamba rais anauwezo wa kuongoza taifa lake uku akiwa ndani ya ndege au kutoa taarifa yoyote kwa taifa lake.Air force one ni ndege ambayo haipitishi risasi na ni ndege ya vita ambayo inauwezo wa kufanya mashambulizi ya kivita na pia inamwenzi wa kasi kama chopa za kivita..
AIR FORCE ONE NDEGE YENYE MAAJABU KULIKO ZOTE DUNIAN
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, July 1, 2013 | 10:49 AM
Labels:
Fashion


No comments:
Post a Comment