Hii ni fusra kubwa kwa mwanamke wa kitanzania hasahasa katika ujio huu wa mke wa rais wa marekani mama Michelle Obama.Mama salma kama mke wa rais na kiongozi wa wanawake wa kitanzania anatarajiwa kuwa muwakilishi wa wanawake wa kitanzania hasahasa katika swala la kuukuza mfuko wa wanawake na kukuza vyama vya wanawame kwa kuviendeleza na kuvikuza.Ujio huu wa mke wa rais umewapa matarajio mengi sana wanawake wa kitanzania na kumuomba mama salma kutumia fursa hii kuwakilisha matatizo yanayovikumba vyama vyao na swala zima la kumkomboa mwabamke wa kitanzania..
Home »
» UJIO WA MICHELLE OBAMA FURSA KWA MWANAMKE WA KITANZANIA KUPITIA MAMA SALMA KIKWETE


No comments:
Post a Comment