Kutoka taifa la marekani zile tuzo za BET AWARDS zinazotolewa na kuandalia na watu wehusi uko marekani kesho zinatarajiwa kutolewa kwa wasani walioingia katika vipengele mbalimbali na wanaogombea tuzo izo.BET awards ni tuzo zenye heshima kubwa baada ya zile za mtv awards ambazo ujumuisha wasanii wa kila aina.Mtangazania katika tunzo izo atakuwa yule mkali wa Movie na mchekeshaji Chris Turker..Miongoniwa wasanii wanaotalajiwa kuingia katika vinyang'anyilo mbalimbali ni pamoja na Mdada beyonce,Rihanna,Alice Keys na wengine kwa wanaume juna Kanye wastena Jay Z,drake kuna Chris brown,kuna miguel,kuna Justin Timberlake na usher Rymond..
Usikosee ni kuanzia saa mbili usiku.
Usikosee ni kuanzia saa mbili usiku.
 

 
  

No comments:
Post a Comment