Habari Mpya :
Home » » MZUNGU ASHIRIKI JANDO AFRIKA YA KUSINI

MZUNGU ASHIRIKI JANDO AFRIKA YA KUSINI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, July 17, 2013 | 3:29 AM

Brandon De Wet kijana wa kizungu mzawa wa mji wa cape town nchini afrika ya kusini apA karibuni ameripotiwa kushiriki katika moja ya nguzo za tamaduni za kabila la Xhosa jando.Brandon amesema moja kati ya sababu zilizomfanya ashiriki ni kwamba alitaka kujua tamaduni za kabila ambaloanazaliwa rafiki yake kipenzi Yanelisa.Pia amesema amefanya ivyoo kudumisha urafiki wao yeye na rafiki wao yeye na Yanelisa mwenye umri wa miaka 13.Xhosa na ndelelez ni moja kativya makabila makubwa nchin afrika ya kusini yanayodumisha mila za jando na zinginezo.Brandon ameeleza kuwa baada kufanya tendo ilo amejiona mtu tofauti na amejisikia vizuri sana.Jando ikiwa ni pamoja na kutahiliwa kwa watoto wa kiume na tendo ambalo limesemekana upoteza maisha ya watoto wengi nchini apo kwa sababu ufanywaa kienyeji lakin kwa Kijana wa kizungu kwake imekuwa kama uzoefu wa maisha hasa anasema amependa kukaa katika mapango ya milima kwa week tatu bila kuonekana na mtu yeyote..
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania