Ni baada ya kuwa na mwili usio na mvuto ulio andamwa na unene na ni kutokana na uzazi wake wa kwanza wa mwanae NORTH mrembo maarufu dunian Kim kardashian ambae ni mke mwenza wa msanii maarufu wa Hiphop Kanye west apa karibuni ameonekana akiwa na muonekano tofauti na ule wa awali hasa kwa kipindi kifupi tangu amejifungua.Kim mwenyewe amekaliliwa akisema kwamba Atkin's diet ndo imemsadia kuweza kupunguza kilo 25 mpaka alivyo kwa sasa na kuendelea kusema anashukuru Diet iyo maana sasa anaweza cheza na mwanae na pia kuonekana katika media na mumewe Kanye west pia anaweza fanya mambo yake yote akiwa mwepesi na kawaida tofauti ma mwanzo.
No comments:
Post a Comment