Mo ibrahim ni tuzo ya kimataifa inayotolewa kila mwaka kwa kiongozi bora na aliyetawala kwa haki na usawa.Imeelezwa kwamba tuzo iyo Yenye thamani ya dolloar za kimarekani Million Tatu utolewa kwa kiongozi yeyote wa Afrika mwenye vigezo vifuatavyo,awe na serikali imala awe kiongozi bora kwa watu wake,aweze kubadilisha maisha ya watu wake kutoka hali mbaya kwenda nzuri.Kwa upande wa Afrika hii imekuwa ni mala ya Nne tangu tano zilizopita bila tuzo iyo kupata mshindi.Mo Ibrahim raia wa sudan na mfanyabiashara katika sector ya mawasiliano alianzisha tuzo iyo kwa ajili ya Motisha na kuwafanya viongozi wa Afrika kuondoka madarakani wakiwa safi.Tangu tuzo ya Mo ibrahim imeanzishwa ni viongozi watatu tuu wamewahi kupata tuzo iyo akiwemo Joachim Chissano wa Msumbiji.Emeelezwa kwamba Mwai Kibaki ni mmoja wa viongozi aliyekuwa na kigezo kimojawapo cha kushinda ila baada ya uchaguzi mbaya wa 2007 uliosababisha vifo vya watu zaid 12000 alipoteza sifa iyo.
No comments:
Post a Comment