Waislam wate tanzania leo wamekusanyika katika viwanja mbalimbali kutekeleza ibada kubwa ya sala ya EID Al-Haji/Adhua.Kwa imani ya kiislam Eid hii ni moja ya kumbukumbuka za kitendo alichotakiwa baba wa Imani IBRAHIM wakati alipotaka kumchinja mwanae kwa Ismail ikiwa ni amri aliyopewa na mungu akipimwa imani yake kwa imani aliyokuwa nayo IBRAHIM alifanya ivyo kutekeleza amri ya MUNGU wake na kufauru mtihani huo na kabla ya kumchinja mwanae ISMAIL mungu alimtelemsha kondoo ili aweze kuchinjwa yeye kama kafara badala ya ISMAIL.ayo ndo mafunzo katika siku hii ambayo waislam wote dunian wanaitekeleza baafa ya mahujaji kusimama kisimamo cha Arafat uko katika mji mtakatifu wa MACCA nchini saud Arabia.
No comments:
Post a Comment