Toka nigeria imeripotiwa na jarida la habari kwamba idadi ya watu Waliopoteza maisha yao katika ajali ya ndege iliyotokea leo uko nigeria imeongezeka ambapo apo hawali ilitangazwa ni watu watano ambapo wengine walikuwa ni majeruhi ila sasa imefikia14 katia ya wale waliokuwa majeruhi.
No comments:
Post a Comment