Habari Mpya :
Home » » MREMBO WA KIMATAIFA TOKA KENYA KUSHIRIKI KATIKA VIDEO MPYA YA P-NESTA-SUBILI KIDOGO

MREMBO WA KIMATAIFA TOKA KENYA KUSHIRIKI KATIKA VIDEO MPYA YA P-NESTA-SUBILI KIDOGO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, October 14, 2013 | 8:10 AM

Anaitwa Vellicios nilikutana nae Mbeya Hotel akiwa na meneja wake Na baadhi ya watu waliokua nae tunafahamiana nao kulikua na kapart ucku nikapaform nyimbo yangu ya JINI KISIRANI akawa kaupenda akanitafuta asubuhi yake tukaketi sehemu akawa kama ananishauli nikamchomekea kuhusu Video yangu ijayo ya SUBILI KIDOGO nikamuomba kama anaweza kushiliki akasema sawa ata kama atakua wapi atakuja tena kwa gharama zake ni hivyo tu..
NI Msanii P-nesta akimueleza muandishi wa AFRICA STEP kuhusu Video yake ijayo ya SUBILI KIDOGO na jinsi alivyoweza kulutana na mrembo uyo ambae ni Modeling wa kimataifa toka Kenya.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania