Msanii Ray C ambae kwa muda mrefu alikuwa kimyaa kutokana na matatizo yakiyotokana na matumizi ya madawa haramu za kulevya amepona na kwa mala ya kwanza baada ya zaid ya miaka miwili amepanda jukwaa la fiesta jana usiku viwanja vya leaders kumpa support mdada recho ambae kwa sasa na anaitendea haki style ya Ray c.
No comments:
Post a Comment