Milion mbili ya mahujaji toka dunia nzima waliokwenda katika mji mtukufu MACCA kwa ajili ya kutimiza moja ya nguzo katika tano za dini ya kiislam ya kuhiji kwa mwenye uwezo katika nyumba tukufu ya Macca leo wametimiza ibada ya ya Hijja kwa kwenda katika mlima Arafat au mlima wa Msamaha.Mlima Arafat ndo eneo katika historia walipokutana wanadamu wa kwanza yani Adam na hawa na pia ndo mlima ambao Mtume muhamad (S.a.w)aliwahutubia waislamu kwa mala ya mwisho kabla ya kifo chake.Afarat ndo ibada ya mwisho kabla ya kuingia sikukuu ya EID alhaji au Eid ya kuchinja.Mungu tusamehe mazambi yetu na utuongoze uko mbele tuendako katika kisimamo cha Arafat Ameen..
No comments:
Post a Comment