Leo Tanzania imeazimisha miaka 14 tangu kifo cha muasisi wa taifa la Tanzania mwl Julius Kambarage Nyerere ambae alifariki mnamo tarehe 14/1999.Historia fupi ya Mwalimu ni mwanaharati wa na muasisi wa kwanza wa masuala ya uhuru Tanganyika wakati wa utawala wa mkolon wa kiingeleza akiwa na chama cha wananchi TAA.Mwalimu alizaliwa mnamo mwaka 1922 kijijin kwao Butihama mkoan Mara,Mwalimu mnamo mwaka 1961 ndo alikuwa waziri mkuu wa kwanza kipindi Tanganyika inapata uhuru wake toka mikononi mwa mkoloni na mnamo mwaka 1964 muungano wa Tanganyika na zanzibar na kuzaliwa taifa la Tanzania mwalimu ndo alikuwa Rais wa kwanza wa Taifa la Tanzania Bara.Tanzania Inamkumbuka Mwalimu kama baba na muasisi wa Taifa la Tanzania
No comments:
Post a Comment