Msanii wa muziki maarufu nchini tanzania maarufu kama Matonya ivyi karibuni amedaiwa kumdhurumu mtu saa mbili zenye thamani ya shilling 260000 za kitanzania.Mdai ambae jina lake ni Hassani Mkazi wa Dar es salaam mzawa wa Tanga alikutana na mwandishi wetu wa AFRICA STEP na kueleza kwamba,matonya ni mtu wake wa karibu sana toka wakiwa tanga na alikuja kwake akiwa na mzee Zahir Ali Zorro kabla ya matonya baadae kumpigia simu na kumwambia kwamba Zahir Zorro ameipenda saa aliyovaa na anaomba amuazime aweze tolea Video ya Agwelina.Mdai anasema;Baada ya siku kadhaa matonya alinipigia niende katika tukio ambapo uandaaji wa video ya agwelina unafanyika nikamkabidhi saa akiyosema mzee Zahir Zorro aliomba nimuazime nikawa na nyingine mkonon akaniomba na iyo niliyovaaa akasema baada ya kumaliza Uandaaji huo wa video angenirudishia,ila kwa ukweli mpaka leo hii hajanirudishia saa zangu mbili na kila nikimpigia simu hapokei.NAHODHAAFRICANA ilijaribu kulifatilia swala hili kwa kumtafuta mzee Zahir Zorro katika ukurasa wake wa twitter na hiki ndo alichotujibu kwanza kwa tuhuma nyingine ya Matonya kutomuweka katia video ya Agwelina na badala yake kipande icho akawekwa Msanii toka Akudo zaman sasa ni Solo artist Christian Bella angalia Picha apo chini utaona Majibu ya Mzee zahir Ali Zorro alichojibu kupitia ukurasa wake wa Twitter...
No comments:
Post a Comment