Habari Mpya :
Home » » ZAID YA MAHUJAJI 112 WAPOTEZA MAISHA INDIA KATIKA MSONGOMANO WA KUVUKA DARAJA

ZAID YA MAHUJAJI 112 WAPOTEZA MAISHA INDIA KATIKA MSONGOMANO WA KUVUKA DARAJA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, October 14, 2013 | 10:00 AM

Habari zilizotufikia ni kwamba zaid ya mahujaji 112 wamepoteza maisha tangu apo jana siku ya jamapili mpaka leo ambapo idadi imeelezwa kuzidi kuongezeka.Mahujaji wa Dhehebu la Hindu apo jana walikuwa wakivuka daraja lililopo juu ya mto Sindh River kuelekea katika Temple ambayo ndo sherehe za Hija ya Hindu ilitakiwa kufanyika,taarifa ni kwamba wakati wanavuka daraja lilitikisika na kuleta hofu kubwa kwa mahujaji hao ambapo matokeo yake ni msongamano mkubwa ulioleta madhara ya kupoteza maisha ya wanawake wengi na watoto na pia baadhi ya watu kuchukua hatua ya kuruka katika mto na kuzama.Kikosi cha polisi bado kinafanya juhudi ya kutafuta mili ya marehemu waliozama na wale majeruhi wamepeleka hospital kwa matibu zaid.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania