Habari Mpya :
Home » » HAYA NDO MAAFA YALIYOUKUMBA MJI WA TACKOBAN UPHILIPINO KUTOKANA NA KIMBUNGA AINA YA TYPHOON,MASHIRIKA YA MSAADA YAITAJIKA ZAID KUNUSURU WATU

HAYA NDO MAAFA YALIYOUKUMBA MJI WA TACKOBAN UPHILIPINO KUTOKANA NA KIMBUNGA AINA YA TYPHOON,MASHIRIKA YA MSAADA YAITAJIKA ZAID KUNUSURU WATU

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, November 20, 2013 | 4:27 PM

Haya ndo maafa yaliwakumba watu wa mji wa Tacloban ndani ya Nchi ya Uphilipino siku chache zilizopita kutokana na kimbunga Typhoon chenye nguvu kutoka baharin na kuwacha baadhi ya familia yatima na zingine bila makazi wala chakula.Mashirika yanayohusika na msaada dunian yameombwa kujitokeza haraka kuwasaidia watu wa mji huo ambao kwa sasa wanateseka na njaa na mavazi.Vikosi vya msaada toka marekani na uingereza vimemwagwa kutoa msaada wa haraka.Typhoon imeelezwa na mabadiliko ya hali ya hewa baharin.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania