Toka india leo ikiwa ni siku ya vyoo na usafi imeelezwa kwamba watu wengi wanaishi vijijin hawajua matumuzi mazuri ya vyoo na afya zao na pia kuna upungufu mkubwa wa vyoo vya kisasa vyenye usafi zaid.India leo ikiwa ni siku ya Vyoo wananchi na serikari kwa ujumla wametoa sauti zao juu ya hatari ya afya zao hasa watoto na wanawake ambao mazingira yao makubwa yameathiriwa na maji taka.Ukiacha vijijin imeelezwa kwamba mijin pia vyoo pia havina muonekano mzuri na pia kwamba ni vichache hasa vile vya jamuia ambavyo vinaatarisha afya za raia na kuchafua vyanzo vya mazungira mfano vyoo vingi vimewekwa katika mifeleji ya vyanzo vya maji na vyanzo ivyo ndo watoto wanatumia kuoga na ata maji ya kutumia matokeo ni magonjwa kama kichocho na mengineyo.
hii ndo hali halisi India.
No comments:
Post a Comment