Haya ndo mazungumzo kati ya marekani na urusi yaliyoipelekea syria kukubali kuteketeza siraha zake za chemikali.Kauli mbiu ikiwa ni IRAN kuelekea Syria mazungumzo ndo mafanikio hakuna haja ya vita.Marekan na urusi wakiwa kama wasemaji na wawakilishi wa umoja wa mataifa katika kulinda aman ya dunia apa karibun wameweza kuifanya Syria kukubali kutetekezea siraha za nuclea na zingine na kukubali agizo la umoja wa mataifa la kutomiriki siraha izo harari dunian.
No comments:
Post a Comment