Toka spain barcelona mlinda goal wa club iyo maarufu dunian Victor Valdes imeripotiwa kutotinga uwanjani mpaka mwisho wa mwaka huu kutokana na maumivu ya mguu aliyoyapata wakati wa mechi ya kirafiki kati ya spain na afrika ya kusini mwanzo mwa wiki hii.Kwa upande wa club ya barcelona ilo ni pigo lingine
kwa club iyo wakati ambao mlinda Goal uyo anampango wa kuhama club iyo mkataba wake utakapoisha msimu huu.Mkurugenzi wa club ya barcelona amesema kuumia kwa mlinda Goal uyo kumetokea wakati mbaya sana na sio jambo la kawaida kwa mlinda goal kuumia mguu lakin lazima tufanye tuwezavyo kukabiliana nalo ilo tatizo.
No comments:
Post a Comment