Habari Mpya :
Home » , , » ZITTO KABWE ASEMA''SIWEZI KUONDOKA CHADEMA

ZITTO KABWE ASEMA''SIWEZI KUONDOKA CHADEMA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, November 25, 2013 | 9:27 AM

Mbuge wa Kigoma kaskazin Mh:Zitto kabwe amesema hawezi kuhama au kuondoka chadema japo ya kwamba amevuliwa nyazifa zake zote alizokuwa nazo apo hawali katika uongozi wa cha icho.Katika Mkutano wa hadhara na viongozi mbalimbali wa chadema akiwemo Dr Kitila Mkumbo zitto alisema chama kinapoelekea sio kuzuri.Pia aliendelea kusema Chama kimenishutumu mim kwamba sintokifanyia kampeni katika uchaguzi mkuu mwaka2010.Zitto kabwe kasema pia kwamba kwa chadema kunifanyia yote hayo mimi ni kuwaaminisha wanaokiamin chama katika kutekeleza sheria zake umakini wake
na kutomvumilia yeyote anayetaka kukivuruga na pia kuwafanya wasioamin kuwa na imani ya kidemocrasia na  chama icho.Zitto ambae alipata majanga akiwa na wenzake wawili alisema 'Mimi siwezi kuwa sababu ya kufa kwa chadema'.Akiongezea alisema'Mim ni binadam nikiumizwa lazima niumie pia lazima ijulikane kwamba mim ni mwanasiasa kijana ambae nimefanya mengii mazuri yanajulikana ila kuna mabaya pia machache sijakamilika.Zitto mbele ya kikao na waandishi wa habari amesema nimepata maadui na wapinzani tangu siku nimepinga Posho Bungen lakin pia chama changu kinanishutumu kwamba nimekisariti chama na kukiujumu kwa kupokea Mamia ya Mamilion toka chama cha CCM.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania