Mbunifu aliyetengeneza Bunduki ya AKA 47 bwana Mikhail Kalashnikov amefariki dunia akiwa kalazwa hospital uko urusi bada ya kuugua muda mrefu.Mbunifu uyoo aliyetengeza Bunduki iyoo ameweza kuweka histori kubwa baada ya bunduki iyo kutumika kwa zaid ya karne sita na kuwa moja ya bunduki mahiri sana hasa zinazotumika katika vita nyingi na mpaka karne ya leo ya 21 AKA 47 imekuwa ni bunduki bora na yenye ubunifu mkubwa.Kabla hajafariki bwana Mikhail Kalashnikov alisikitishwa na bunduki yake kutumiwa vibaya na vikundi vya kigaidi.Mikhail amefariki jana akiwa na umri wa miaka 94
PICHA:Mikhail Kalashnikov akiwa kabeba Bunduki Yake AKA 47.


No comments:
Post a Comment