Habari Mpya :
Home » , , , , » MY PLAYLIST"YALETA AMANI MANZESE(MADEE VS NEY WA MITEGO)

MY PLAYLIST"YALETA AMANI MANZESE(MADEE VS NEY WA MITEGO)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, December 24, 2013 | 8:29 AM

Kulingana na zile story na maneno yaliongelewaaa na wengi kutokana na nyimbo pamoja na matukio yaliyowahi tokea apo nyuma kati ya Msanii Madee na Ney wa mitegoo aka True Boy kwamba wanabeef na kwamba hawalewani kabisaa.Maneno ayo yamekuwa tofauti baada ya Nguri hao ambao wote ni wakazi wa Manzese kuonekana katika kipindi cha My playlist kinachorushwa na kituo cha Tv cha CloudsTv.My playlist ya Ney wa mitego aliitaja Video ya Madee "Pombe Yangu"
kama moja ya video anazozipenda mbali na kuponda utengenezaji wa Video ila alisifia Nyimbo iyo na kwa upande wa Madee alipohojiwa na kutaja Video anazozipenda hakusita kutaja Video ya Ney ya "Salam Zao"
mbali na Ney kumtaja katika vyimbo iyo.Kitendo icho imeelezwa kumfurahisha sana Ney wa mitego na kusema inaonyesha ni kiasi gani watanzania wakivyoonza kuelewa maana halisi ya usanii na kusema mimi na madee hatuna Tatizo hili ni game tuu ni kazi hakuna ugomvi ni harakati tuu,Alisema Ney wa Mitego na alipohojiwa kuhusu kuwa na wazo la kufanya colabo na madee?,Ney alisema"Colabo kati yake na madee lazima cha msingi ni kuomva kheri mambo yaende sawaaa katika kufanikisha ilo.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania