Habari Mpya :
Home » , » HII NI MOJA YA NDOTO ZA MSANII "JB" KUELEKEA KUWA LEGENDARY

HII NI MOJA YA NDOTO ZA MSANII "JB" KUELEKEA KUWA LEGENDARY

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, December 24, 2013 | 3:09 AM




Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki, akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika tasnia ya filamu nchini, Jacob Steven 'JB' wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika mwaka huu na wadhamin wakiwa ni Steps.Kwa upande wa JB hii ni moja kati ya ndoto zake kuelekea kuwa legendary katika tasnia ya uigizaji.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania