Habari Mpya :
Home » , » MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, December 9, 2013 | 5:37 AM

Leo Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na watanzania wote kuadhimisha miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika zamani leo(Tanzania)katika uwanja wa Taifa jinin Dar es Salaam.

Ilikuwa ni tarehe 9 december mwaka 1961 Taifa la tanganyika lilipata uhuru wake kutoka katika ukoloni wa mtawala wa kiingereza.Mwalimu julius Nyerere akiwa ndo waziri mkuu wa kwanza kabla ya kutengeza katiba ya Tanganyika ambapo baadae akawa rais wa kwanza wa Tanganyika. Mnamo mwaka 1964 Tanganyika iliungana  na visiwa vya pemba na zanzibar na kuzaa Taifa TANZANIA likiwa na viongozi wawili Tanzania Bara mwl Julius Nyerere na kwa upande wa Visiwani akiwa ni Abed Aman Karume.Maadhimisho haya ya miaka 52 yamefanywa kwa ufupi uku watanzania pamoja na rais Jakaya Kikwete kumkumbuka Shujaa wa afrika Nelson Mandela aliyefariki tarehe 5 december 2013.
1.Mwalimu akiw na Prince mwaka 1961
2.Mwalimu akitawazwa mwaka 1961
3.mwalimu na familia yake mwaka1961
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania